x
Kuhusu EfG
Equality for Growth
Equality for Growth ni Shirika lisilo la Kiserikali lenye msingi wa haki, lenalolenga kuwawezesha wanawake wa sekta isiyo rasmi nchini Tanzania. EfG ilianza mwaka 2008, tangu wakati huo imekuwa ikipigania sauti, kuonekana, na haki za wanawake wanaofanya kazi katika uchumi usio rasmi wa Tanzania.
EfG ilianzishwa na kusajiliwa nchini Tanzania tarehe 6 Agosti 2008 na namba ya usajili
66935, na baadaye mwaka 2011 shirika hilo lilipata cheti cha Ufuataji wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali chenye namba 00001544. Walengwa wa kazi za EfG ni wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika sekta za rasmi na isiyo rasmi .
Ofisi za EfG
NHC, Mandela Road
Opp. National Stadium, Plot No. 322 (2nd floor)
P.O. Box 79329,
Dar es Salaam,
Tanzania
Mawasiliano
Simu: +255-22-285 0422 (Ofisi)
Simu: 0765-477539 (Simu ya mkononi)
Uongozi
Penina Reveta – Mwenyekiti wa bodi
Jane Magigita – Mkurugenzi wa shirika